• HABARI MPYA

    Sunday, January 10, 2016

    MESSI APIGA HAT-TRICK, BARCELONA YAUA 4-0 LA LIGA

    Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi akiwafunga tela wachezaji wa Granada, Ruben Rochina (chini) na Diego Mainz (kulia) katika mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou. Barca imeshinda 4-0, Messi akifunga matatu na lingine Neymar PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MESSI APIGA HAT-TRICK, BARCELONA YAUA 4-0 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top