• HABARI MPYA

  Friday, January 08, 2016

  'MCHAGA' JERRY MURO NA 'MZARAMO' HAJJI MANARA SASA AMANI!

  Wakuu wa Idara za Mawasiliano, Jerry Muro wa Yanga SC (kushoto) na Hajji Manara wa Simba SC (kulia) wakiwa pamoja usiku wa jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar kufuatilia mchezo kati ya Yanga na Mtibwa Sugar Kombe la Mapinduzi. Yanga SC ilishinda 2-1. Hivi karibuni Muro aliingia kwenye mtafaruku na Manara, lakini sasa inaonekana wawili hao wamefuta tofauti zao.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: 'MCHAGA' JERRY MURO NA 'MZARAMO' HAJJI MANARA SASA AMANI! Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top