• HABARI MPYA

  Thursday, January 07, 2016

  'MASTER' MKWASA KWA UMAKINI KABISA AKIFUATILIA VIPAJI SIMBA SC

  Kocha Mkuu wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Charles Boniface Mkwasa 'Master' (kulia) akiwa na Meneja Masoko wa Yanga SC, Omar Kaaya (kushoto) wakati wa mchezo wa Kombe la Mapinduzi, kati ya Simba SC na URA jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Simba SC ilishinda 1-0 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: 'MASTER' MKWASA KWA UMAKINI KABISA AKIFUATILIA VIPAJI SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top