• HABARI MPYA

    Sunday, January 10, 2016

    MANCHESTER CITY YAIDABISHA 3-0 NORWICH KOMBE LA FA

    Mshambuliaji Sergio Aguero (kulia) akiifungia bao la kwanza Manchester City kwa kumtungua kipa wa Norwich, John Ruddy (katikati) katika ushindi wa 3-0 usiku wa jana Uwanja wa Carrow Road. Mabao mengine ya City yamefungwa na Kelechi Iheanacho na Kevin De Bruyne PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MANCHESTER CITY YAIDABISHA 3-0 NORWICH KOMBE LA FA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top