• HABARI MPYA

  Thursday, January 07, 2016

  EVERTON YAICHAPA 2-1 MAN CITY NUSU FAINALI KOMBE LA LIGI

  Mshambuliaji wa Everton, Romelu Lukaku akiifungia timu yake katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Manchester City mechi ya kwanza ya Nusu Fainali ya Kombe la Ligi, maarufu kama Capital One Cup Uwanja wa Goodison Park usiku wa jana. Bao lingine la Everton limefungwa na Ramiro Funes Mori, wakati la City lilifungwa na Jesus Navas PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: EVERTON YAICHAPA 2-1 MAN CITY NUSU FAINALI KOMBE LA LIGI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top