• HABARI MPYA

  Friday, January 08, 2016

  KIONGERA ANAPOKUWA MCHEZAJI WA 12 SIMBA SC!

  Mshambuliaji Mkenya wa Simba SC, Paul Kiongera (kushoto) akiwa na wachezaji wenzake ambao hawakutumika katika mchezo dhidi ya URA ya Uganda juzi Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Simba SC ilishinda 1-0 na leo usiku inashuka dimbani tena kwenye Uwanja huo kumenyana na JKU katika mchezo wa mwisho wa Kundi A

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KIONGERA ANAPOKUWA MCHEZAJI WA 12 SIMBA SC! Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top