• HABARI MPYA

    Friday, January 08, 2016

    ISSOUFOU BOUBACAR GARBA NI MTAMBO MPYA WA MABAO JANGWANI?

    Kiungo mpya mshambuliaji wa Yanga SC, Issoufou Boubacar Garba akishangilia jana baada ya kuifungia bao la kusawazisha Yanga SC ikishinda 2-1 dhidi ya Mtibwa Sugar usiku wa jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar katika mchezo wa Kundi B Kombe la Mapinduzi. Je, Garba ataendeleza moto wa mabao Jangwani? 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ISSOUFOU BOUBACAR GARBA NI MTAMBO MPYA WA MABAO JANGWANI? Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top