• HABARI MPYA

  Tuesday, January 05, 2016

  CHANONGO NA UBWA NDANI YA UZI WA TP MAZEMBE, MUNGU WABARIKI VIJANA!

  Wachezaji wa Stand United ya Shinyanga, beki Abuu Ubwa (kulia) na winga Haroun Chanongo (kushoto) wakiwa na jezi za TP Mazembe Uwanja wa Mazembe mjini Lubumbashi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) jana baada ya kuanza majaribio yao ya wiki moja kuwania kujiunga na mabingwa hao wa Afrika. Mazembe tayari ina washambuliaji wawili Watanzania, Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu ambao wote wapo mbioni kuuzwa Ulaya baada ya misimu minne ya mafanikio Lubumbashi.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHANONGO NA UBWA NDANI YA UZI WA TP MAZEMBE, MUNGU WABARIKI VIJANA! Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top