• HABARI MPYA

  Friday, January 08, 2016

  CAF YATAJA MAREFA WA CHAN 2016 , HAKUNA MTANZANIA HATA MMOJA

  SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limetaja marefa wa kuchezesha Michuano ya Ubingwa wa Mataifa Afrika (CHAN) - na hakuna jina la Mtanzania hata mmoja.
  Marefa 34 kutoka nchi 26 wameteuliwa kuchezesha fainai za michuano hiyo inayohusisha wachezaji wanaocheza ligi za nchini mwao pekee, ambayo itafanyika nchini Rwanda Januari 16 hadi February 7.  ORODHA YA MAREFA WA CHAN 2016

  #
  JINA
  NCHI ATOKAYO

  1
  Abid Charef Medhi
  Algeria

  2
  Bernard Camille
  Shelisheli

  3
  Denis Dembele
  Ivory Coast

  4
  Ibrahim Nour El Din
  Misri

  5
  Daniel Bennet
  Afrika Kusini

  6
  Kordi Med Said
  Tunisia

  7
  Mohamed H. El Fadil
  Sudan

  8
  Nampiandraza Hamada
  Madagascar

  9
  Keita Mahamadou
  Mali

  10
  Ali Lemghaifry
  Mauritania

  11
  Malang Diedhiou
  Senegal

  12
  Zio Ephrem Juste
  Burkina Faso

  13
  Davies Omweno
  Kenya

  14
  Hudu Munyemana
  Rwanda

  15
  Joseph Lamptey
  Ghana

  16
  Thierry Nkurunziza
  Burundi


  MAREFA WASAIDIZI (Washika vibendera)

  1
  Mokrane Gourari
  Algeria

  2
  Ndagijimana Theogene
  Rwanda

  3
  Mark Ssonko
  Uganda

  4
  Oamogestse Godisamang
  Botswana

  5
  Noupue Nouegoue Elvis
  Cameroon

  6
  Dina Bienvenu
  Benin

  7
  Serigne Cheikh Toure
  Senegal

  8
  Ahmed Hossam Taha
  Misri

  9
  Tesfagiorghis Berhe
  Eritrea

  10
  David Laryea
  Ghana

  11
  Mamady Tere
  Guinea

  12
  Sullaymane Sosseh
  Gambia

  13
  Marwa Range
  Kenya

  14
  Mahamadou Yahaya
  Niger

  15
  Hensley Petrousse
  Shelisheli

  16
  Khumalo M. Steven
  Afrika Kusini

  17
  Theophile Vinga
  Gabon

  18
  Nabina Blaise Sebutu
  DRC
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CAF YATAJA MAREFA WA CHAN 2016 , HAKUNA MTANZANIA HATA MMOJA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top