• HABARI MPYA

    Sunday, January 10, 2016

    ARSENAL YAITANDIKA 3-1 SUNDERLAND KOMBE LA FA ENGLAND

    Mshambuliaji wa Arsenal, Joel Campbell akishangilia baada ya kuifungia timu yake katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Sunderland kwenye mchezo wa Kombe la FA usiku wa jana Uwanja wa Emirates. Mabao mengine ya Arsenal yamefungwa na Aaron Ramsey na Olivier Giroud, wakati la Sunderland limefungwa na Jeremain Lens PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ARSENAL YAITANDIKA 3-1 SUNDERLAND KOMBE LA FA ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top