• HABARI MPYA

    Saturday, July 04, 2015

    TAMBWE NA SHERMAN 'WALIVYOSHIKANA' LEO MAZOEZINI YANGA SC, MRUNDI ALISALIMU AMRI KWA MLIBERIA

    Washambuliaji wa Yanga SC, Mrundi Amissi Tambwe (kushoto) na Mliberia, Kpah Sherman (kulia) wakisukumana wakati wa mazoezi kwenye ufukwe wa Bahari ya Hindi, barabara ya Barack Obama, eneo la Sea View, Dar ez Salaam. 
    Tambwe na Sherman wakionyeshana nani mwenye ubavu
    Lakini baadaye Tambwe alizidiwa na Sherman, ingawa mwenyewe akasema mchanga umemuingia jichoni
    Kocha Hans van der Pluijm akambadilishia Tambwe 'mpinzani' na kumpa beki Edward Charles
    Tambwe naye akahamishiwa kwa Oscar Joshua, ambaye huyo walitoana naye jasho 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TAMBWE NA SHERMAN 'WALIVYOSHIKANA' LEO MAZOEZINI YANGA SC, MRUNDI ALISALIMU AMRI KWA MLIBERIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top