• HABARI MPYA

    Friday, July 03, 2015

    HAMISI KIIZA APOKEWA 'KIFALME' SIMBA SC, AIBUKIA KWENYE GARI LA WAZI JUU

    Mshambuiaji wa zamani wa Yanga SC, Hamisi Kiiza 'Diego' akiwapungia mkono kutoka kwenye gari mashabiki wa Simba SC Uwanja wa TCC Chang'ombe baada ya kusiani Mkataba wa miaka miwili kama mchezaji huru kujiunga na Wekundu wa Msimbazi.
    Mashabiki wa Simba SC walimfurahia mno Kiiza leo
    Kiiza akipiga hesabu zake kabla ya kuteremka kwenye gari TCC leo

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: HAMISI KIIZA APOKEWA 'KIFALME' SIMBA SC, AIBUKIA KWENYE GARI LA WAZI JUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top