• HABARI MPYA

    Thursday, January 02, 2014

    KABURU AKIGAWA KING'AMUZI CHA AZAM TV UWANJA WA AMAAN


    Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Geoffrey Nyange 'Kaburu' akimzawadi king'amuzi na dishi la Azam TV, Nahodha wa KMKM ya Zanzibar baada ya kuwa mchezaji wa kwanza kufunga ba la michuano ya Kombe la Mapinduzi, tmu yake ikifungwa 3-2 na KCC ya Uganda.
    Kabla ya hapo, Kaburu alikuwa amaketi jukwaani na Meneja wa Simba SC, Mganda Moses Basena wakijadiliana mambo.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KABURU AKIGAWA KING'AMUZI CHA AZAM TV UWANJA WA AMAAN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top