• HABARI MPYA

  Wednesday, August 15, 2012

  HIZI NDIZO SILAHA MPYA ZA SIMBA SC, BEKI HAKATIZI MTU, MSHAMBULIAJI HAKABIKI

  Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe (kushoto) akimkabidhi jezi beki mpya wa klabu hiyo, Paschal Ochieng katika ukumbi wa mikutano wa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.


  Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe (kushoto) akimkabidhi jezi mshambuliaji mpya wa klabu hiyo, Daniel Akuffo katika ukumbi wa mikutano wa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
  Makamu Mwenyekiti wa Simba SC, Geoffrey Nyange ‘Kaburu’ akizungumza na Waandishi wa Habari katika ukumbi wa mikutano, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kuwatambulisha wachezaji wao wapya, kulia mshambuliaji Daniel Akuffo kutoka Hearts Of Oak ya Ghana na kushoto beki Paschal Ochieng kutoka AFC Leopard ya Kenya.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HIZI NDIZO SILAHA MPYA ZA SIMBA SC, BEKI HAKATIZI MTU, MSHAMBULIAJI HAKABIKI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top