• HABARI MPYA

    Wednesday, June 06, 2012

    ROONEY AHAMASISHA WENZAKE ENGLAND

    England pose for a team line-up at the Grove Hotel
    Wayne Rooney amewataka wachezaji wenzake wa timu ya taifa ya England, kusahau matokeo mabaya ya nyuma na kujituma katika michuano ya Euro 2012. 
    Mshambuliaji huyo yumo kwenye kikosi cha kocha Roy Hodgson cha Euro 2012, lakini alikuwa mchezaji muhimu kwenye timu ya England kilichochza fainali mbili za Kombe la Dunia na kukosa tiketi ya Euro 2008.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ROONEY AHAMASISHA WENZAKE ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top