• HABARI MPYA

  Thursday, May 03, 2012

  DEMU WA KANUMBA AJIFUNGUA MTOTO WA KIUME


  Na Imelda Mtema
  MNYANGE wa Ilala 2009/10, Sylvia Shally (pichani) amejifungua mtoto wa kiume Jumapili katika Hospitali ya Kairuki Mikocheni jijini Dar, Amani linakupa habari kamili.
  Kwa mujibu wa mnyange huyo ambaye alizungumza na gazeti hili akiwa nyumbani kwake Kinondoni jijini Dar es Salaam amejifungua salama kwa njia ya kawaida na kukikwepa kisu.
  “Nimefurahi kupata mtoto wangu wa kwanza,” alisema Sylvia ambaye aliwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na marehemu Steven Charles Kanumba.
  Hata hivyo, Sylvia amegoma kumtaja baba mzazi wa kichanga hicho.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DEMU WA KANUMBA AJIFUNGUA MTOTO WA KIUME Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top